News – Habari

News from the Action Music Academy – Tanzania / Habari kutoka Action Music Academy – Tanzania

Vijana, wanakwaya na walimu wa muziki wanaalikwa kujiunga na mafunzo ya muziki kwenye chuo cha Action Music Academy (AMA), kilichopo Mbezi Beach Goigi mkabala na shule ya St Mary’s Junior International Academy, Jijini Dar es Salaam. Mafunzo yanayotolewa ni pamoja na upigaji wa ala mbalimbali za muziki kupitia kozi za muda mfupi na mrefu (miezi mitatu na mwaka mmoja).

[continue reading…]

AMTZ would like to thank the following partners for their generous support.

Sponsor logos