Admission / Udahili 2021-2022

Apply Now

We’re pleased to announce that, we’re receiving applications for the new intake for 2021/2022 academic year for the certificate program.

The deadline for application is on 20th October 2021.

Download application form →

Omba Sasa

Tunapenda kutangaza kupokea maombi ya muhula mpya wa masomo kwa mwaka 2021/2022 kwa ngazi ya cheti.

Mwisho wa maombi ni tar 20 October 2021.

Pakua fomu ya maombi →